Coca‐Cola Zero Sugar inatofautianaje na Coca‑Cola Zero?

Kiburudisho kipya kinachofanya Coca‑Cola Zero Sugar kuwa na ladha sawa na ile ya Coca‑Cola asili (Coca‑Cola Classic) ila haina sukari.

 

Jina jipya – Coca‑Cola Zero Sugar – ili kueleza wazi zaidi kuwa kinywaji hakina sukari.

Muonekano mpya – Njia mpya ya kupakia ili kuonyesha mkakati wetu wa kimataifa wa chapa moja na kupanua mvuto wa kifahari wa chapa ya Coca‐Cola na diski nyekundu kwa toleo la Coca‑Cola lisio na sukari. 

Inafanana sana na Coca‑Cola Original.