Je, wagonjwa wa kisukari wanaweza kunywa Coca Cola Light/Zero?

Wagonjwa wa kisukari wanaweza kunywa Coca Cola Light/ Zero; hata hivyo, tunapendekeza uwasiliane na daktari wako kuhusu kisukari na mahitaji yako ya lishe.