Lollapalooza Chicago (US)

Hakuna sehemu tamu kama Chicago. Tangu mwaka 2003, Lolla Chicago limekuwa ni moja ya tamasha kubwa Amerika Kaskazini kwa kuibua muziki, kukutanisha marafiki na kutengeneza kumbukumbu nzuri. Hebu tuwe wakweli, nani anaweza kataa Kwenda kushuhudia Zaidi ya maonesho 170 ya burudani ndani ya Grant Park, katikati ya msimu wa joto wa Chicago?