Sayari Yetu Ni Muhimu

Tuna lengo la kujenga maisha endelevu ya baadaye na ya ushirikiano. Ili kuleta mabadiliko katika maisha ya watu, jamii na sayari yetu kwa kufanya biashara kwa njia inayofaa. Kwa kuwa kampuni bora, tunaweza kusaidia kujenga mustakabali thabiti na endelevu kwa ajili yetu sote. 

Tunatumia mtazamo kamili wa uendelevu unaolenga utunzaji wa jamii, mazingira na uchumi. Ni kupitia njia ya kina pekee ndipo tunaweza kuleta mabadiliko ya kudumu.

Mkakati wetu wa uendelevu unaelekeza jinsi tunavyounga mkono na kuwashirikisha watu mashuhuri walio nyuma ya bidhaa zetu—kuanzia kwa wakulima na wafanyikazi, hadi washirika na wauzaji wa vinywaji, hadi wateja na watumiaji, hadi jamii tunazozichukulia kuwa nyumbani—na hutusaidia kufanya maendeleo katika malengo yetu ya kusaidia kulinda mazingira.

Un homme s'occupe des récoltes dans une exploitation viticole indienne

Maeneo ya Uendelevu tunayoyazingatia

Habari za hivi punde za Uendelevu

Mfumo wa Coca‑Cola na Wakfu wa Coca‑Cola Unahimiza Kuunga Mkono Jitihada zinazoendelea za Kutoa Msaada kwa ajili ya Mafuriko kule Kentucky

DASANI na Sprite Zaimarisha Njia Endelevu za Kufungasha Bidhaa kule Amerika ya Kaskazini

Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Kimataifa, Mipango na Hatua Zilizopigwa

Ripoti ya 2021 ya Mazingira, Jamii na Utawala wa Biashara

Tunatengeneza chapa na bidhaa zinazopendwa na watu huku tukijenga mustakabali endelevu kwa ajili ya biashara na sayari yetu. Tunafanya yote hayo huku tukisalia waaminifu kwa madhumuni yetu: kuburudisha ulimwengu na kuleta mabadiliko.

Kituo cha Rasilimali Endelevu

Nyenzo hii inatoa muhtasari wa juhudi zetu za kuunda biashara endelevu zaidi na maisha bora ya ushirikiano katika siku zijazo na inayoleta mabadiliko katika maisha ya jamii na sayari yetu.