Msanii tunayemuangazia ni Jon Batishe

Jon Batiste ni mmoja wa wanamuziki mahiri, aliyefanikiwa na mwenye historia yakipekee. Batiste alisoma na kupokea shahada ya kwanza na shahada ya uzamili katika masuala ya muziki kutoka chuo cha Juilliard Jijini New York. Mwaka 2020, alishinda tuzo ya Academy kama Best Original Score kupitia  filamu Batiste ni mtunzi wa pili mwenye asili ya watu Weusi, baada ya nguli wa muziki wa jazz Herbie Hancock, kushinda Tuzo ya Academy katika uandishi Disney/Pixar -SOUL, kama sehemu ya shukrani aliwapa tuzo hiyo Trent Reznor na Atticus Ross ambao alishirikiana nao katika uandishi wa kazi hiyo. Batiste ni mtunzi wa pili mwenye asili ya watu Weusi, baada ya nguli wa muziki wa jazz Herbie Hancock, kushinda Tuzo ya Academy katika uandishi. Albam mpya ya Batiste, WE ARE ilitoka mwaka 2021 na kupokelewa vizuri, kisha akachaguliwa mara 11 kwenye vipengele tofauti vya tuzo za Grammy, ikiwa ni mara ya kwanza kutokea kwenye historia ya Grammy. Na alishinda katika vipendele vitano ikiwemo albamu bora ya mwaka.

artist on a stage

Wasanii wote

Coke Studio

Pata taarifa kila wakati tunapotoa maudhui mapya kupitia chaneli yetu ya Youtube

Youtube logo